Thursday

azi mdhamini mwenza Vodacom Miss Tanzania 2011

azi mdhamini mwenza Vodacom Miss Tanzania 2011 В Picha mbalimbali za washiriki wa shindano la Vodacom Miss Tanzania wakiwa katika pozi.Papazi imesema warembo watatu watakaopenda kujiingiza katika Ulimwengu wa sanaa za maigizo watafadhiliwa na kampuni hiyo pamoja na Miss Papazi atake pata US 1000.Pia Kampuni hiyo itaongeza zawadi kwa washindi wa tatu wa mwanzo.Mkurugenzi wa Papazi, Hans Pope (kushoto) akizungumza wakati wa kutangaza udhamini wa kampuni yake katika shindano la Vodacom Miss Tanzania uliofanyika jijini Dar es Salaam leo.Kulia ni Mkurugenzi wa Lino International Agency, waandaaji wa shindano la Miss Tanzania, Hashim Lundenga.
MY COUSIN IS SLEEPING WITH MY WIFE в

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.